Kila tunapo pata muda huwa tunapenda kutembelea blogs nyingine well kujua nini kina happen, kujifunza nakadhalika na leo tulikua kwa Missie Popular Blog, Hello Missie katika articles zake za hizi karibuni Missie ameandika kuhusu Wabunifu kutoka Tanzania na jinsi wanavyo potea kwa ku copy vya wengine au ku copy wenyewe kwa wenyewe kitu ambacho ni kweli 100% creativity imekwisha kabisa kwa sasa lakini katika hio hio article ikaibua swala lingine kwetu, Wabunifu wa Tanzania nini kime wapata kwa maana sasa hivi collection zao kuziona ni mpaka katika swahili fashion week.
miaka ya zamani japo kipindi hicho bado hatukua afroswagga lakini unapo penda kitu utapenda kujua histori yake right miaka michahe nyuma tulikua tunaona events za wabunifu waki introduce collection zao mpya ilikuwa kitu kizuri sana as hata mtu akivaa ni rahisi kujua hili vazi limr toka katika collection fulani ya mbunifu fulani lakini kwa sasa utaona collection ya mbunifu kukiwa na swahili fashion week au kuna tamasha lime tokea na tena huto iona tena na wengine wana thubutu kutumia collection hio hio moja katika matamasha zaidi ya mawili utaiona swahili fashion week Tanzania, utaiona Uganda utaiona Kenya hii ina tufanya tuzidi kujifikiria hii Tasnia nayo inaelekea kupotea?
Tupe maoni yako hapo chini au kupitia Email ama Social networks
Related posts
8 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you can find 55975 additional Info to that Topic: afroswagga.com/habari/wabunifu-tanzania-ubunifu-umekwisha/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 39961 additional Information on that Topic: afroswagga.com/habari/wabunifu-tanzania-ubunifu-umekwisha/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/habari/wabunifu-tanzania-ubunifu-umekwisha/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/habari/wabunifu-tanzania-ubunifu-umekwisha/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/habari/wabunifu-tanzania-ubunifu-umekwisha/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/habari/wabunifu-tanzania-ubunifu-umekwisha/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/habari/wabunifu-tanzania-ubunifu-umekwisha/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 58929 additional Info to that Topic: afroswagga.com/habari/wabunifu-tanzania-ubunifu-umekwisha/ […]