SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

WE CAN’T WAIT KWA HII COLLABORATION
Habari

WE CAN’T WAIT KWA HII COLLABORATION 

Jana The Studio Stylist (Noel Gio na Rio The Stylist) wame tangaza kumvalisha Mwanamuziki Maua Sama katika kipindi kizima cha msimu wa Fiesta 2016, na ni kitu ambacho tulikua tuna kisubiri kwa muda mrefu. Maua ni moja katika wasanii wanao kiki kwa sasa tatizo letu na yeye ilikua ni muonekano. Maana ana sauti, swags na the body lakini hakua na muonekano wa ki staa.

13745202_294196414267162_85581646_n

Noel aliandika haya kupitia ukurasa wake wa Instagram “Mapema Leo kwenye Usahili wa wasaniii watakao pamba jukwaa la Fiesta #Imoooo  Na tunafuraha kumtambulisha @mauasama atakua akivalishwa Na #thestyliststudio  🙏”

Kwa jinsi ambavyo tuna wajua Noel na Rio tuna hisi Maua atakuja na muonekano mzuri unao mfaa. Yes To the News.

Kingine tume penda walivyo amua kuintroduce hii kitu ya kumvalisha msanii katika hii tour tuna hope na kuomba hii kitu iendelee si kwa maua tu bali wasanii wote na wabunifu igeni hili kutoka kwa the stylist studio.

Related posts

3 Comments

  1. 男性 ヌード

    … [Trackback]

    […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/habari/we-cant-wait-kwa-hii-collaboration/ […]

  2. buy ephedra sinica

    … [Trackback]

    […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/habari/we-cant-wait-kwa-hii-collaboration/ […]

Leave a Reply