SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

WEMA SEPETU ENDLESS PERFECTION
Habari

WEMA SEPETU ENDLESS PERFECTION 

unnamedunnamed

Jana Wema Sepetu Miss Tanzania 2006 katika account yake ya Instagram aliandika “Imekua ndoto yangu ya muda mrefu, kutumia fursa ya kipekee niliyonayo, kufanya jambo la kimaendeleo. Nina kila sababu ya kuwashukuru wote mliokua mnaniombea mema, kwasababu kwa maombi yenu hatimaye nimefika hatua ya kujishugulisha kibiashara.

Bila shaka ushasikia maneno ENDLESS PERFECTION.

Hilo ni jina la duka langu la vipodozi litakalofunguliwa kwa mara ya kwanza, leo tarehe 3 October, kuanzia saa nane mchana. Duka lipo karibu na ofisi za TRA Mwenge, opposite na magorofa ya jeshi. Namba za dukani ukihitaji muongozo zaidi ni 0759-215-533 au 0675-887-751.

ENDLESS PERFECTION ndio sehemu pekee mjini ya kujipatia PERFUME, SPRAYS na BODY SPLASH za ukweli. Kila kitu ORIGINAL na kwa bei nzuri zinazoendana na UBORA wa vitu vya UHAKIKA utakavyovipata dukani.

Napenda kuchukua fursa hii kumshukuru kaka angu @mrproblemsolved pamoja na team nzima ya PROBLEM SOLVED LTD kwa kazi kubwa waliofanya kuandaa duka langu, na kwa kazi kubwa watakayofanya kulisimamia katika kila kitengo.

Mzigo wa kuanzia upo dukani, kwahiyo wahi kesho upate perfume nzuri, alafu kaa mkao wa kula maana vitu vikubwa zaidi viko njiani.
Kwa wale wapenzi wa manukato hapo ndio pa kwenda kashatoa location na namba za simu, Hongera Wema na karibu katika ulimwengu wa ujasiriamali

Related posts

5 Comments

 1. เด็กเอ็น

  … [Trackback]

  […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/habari/wema-sepetu-endless-perfection/ […]

 2. buy ephedra sinica

  … [Trackback]

  […] There you will find 26771 additional Information to that Topic: afroswagga.com/habari/wema-sepetu-endless-perfection/ […]

 3. sudoku

  … [Trackback]

  […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/habari/wema-sepetu-endless-perfection/ […]

 4. Gun SHOP USA

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/habari/wema-sepetu-endless-perfection/ […]

 5. i was reading this

  … [Trackback]

  […] Here you will find 58572 more Info to that Topic: afroswagga.com/habari/wema-sepetu-endless-perfection/ […]

Leave a Reply