Wema Abraham Sepetu ni muigizaji ambae pia ameingia katika masuala ya ujasiriamali kwa sasa wema ana miliki LipStick zinazo enda kwa jina la Kiss By Wema Sepetu, lakini wema ame sema ndoto zake haziwezi kuishia hapo kwa maana ana mipango ya kutoa vipodozi vingine kama wanja,foundation na vingine vingi.
Wema alisema maneno haya katika ukurasa wake wa Instagram ambapo aliandika
>I think This should be my Colour ya Lipstick wen it comes to my Brand Kiss….. Naipenda coz it jus makes me feel good nikiipaka…. For a very long time nimekuwa nikitaka sana kuwa na kitu kitacho carry jina langu la Wema Sepetu… I thought of perfume at first ila huko nikahisi ni parefu sana but inshallah hakunaga kubwa ukimtanguliza Mungu katika jambo lako na haswa likiwa jambo la kheri…. but sababu napenda urembo nikawaza nifanye kitu kiatakacho reflect kwenye urembo na wazo la kwanza lililonijia katika kichwa ni My Kissable Lips….. So hapo hapo nikasema Why nat make a Lipstick kuzifanya kissable lips zangu zizidi kuvutia na ziweze kuwafanya na my fellow sisters pia wawe na muonekano mzuri….. Tumeanza na Lipstick jamani… Mdogo mdogo ndo mwendo…. Inshallah kale ka makeup box ketu ambacho wadada hatukosagi kwenye handbag zetu katakuwa na virutubisho vyote vya uso wako kwanzia foundation mpaka wanja vikiwa na jina la your sweetheart Wema Sepetu….. Tuombeane Kheri and like I said hakunaga kubwa kwa Allah….. Tukutane kesho wapendwa….. Alam- siq….
Related posts
4 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] There you can find 4077 more Info to that Topic: afroswagga.com/habari/wema-sepetu-na-ndoto-zakua-na-beauty-box/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/habari/wema-sepetu-na-ndoto-zakua-na-beauty-box/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here on that Topic: afroswagga.com/habari/wema-sepetu-na-ndoto-zakua-na-beauty-box/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/habari/wema-sepetu-na-ndoto-zakua-na-beauty-box/ […]