SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Wema Sepetu, Zari The Boss Lady & Vera Sidika Birthday Photo-shoots Review
Habari

Wema Sepetu, Zari The Boss Lady & Vera Sidika Birthday Photo-shoots Review 

Ni Libra season na sote tunajua watu wengi maarufu wamezaliwa mwezi huu, well week iliyopita tumeona birthday za watu maarufu watatu kutoka Tanzania, Kenya Na Uganda. Ambapo kwa Tanzania tunae Wema Sepetu, Kenya ni Vera Sidika na Uganda ni Zarina Hassan ( Zari The Boss Lady).

Kama kawaida ya watu maarufu huwa wanafanya birthday photoshoot ambapo picha hizo ndizo hutumika kuwatakia heri katika siku yao hio ya kuzaliwa, tuanze na Zari The Boss Lady

Zari gave us two photos ambapo ya kwanza alikuwa in bath robe, hii style inaonekana ku-trend sana ya watu kupiga photoshoot wakiwa wamevaa bathrobes, her makeup was done nicely & She gave us a smile

Ya pili akiwa amevalia white dress kutoka kwa mbunifu drb_thefashiondoctor, well ni simple dress tunaweza kusema tumemuona Zari kwenye aina hii ya dress almost our entire life, nywele akiwa ameziachia (typically Zari), something about the hair hatujapenda kwenye kuwa installed, namna ambavyo wamezibond mbele inaonekana too fake, her makeup is always on point.

Muigizaji kutoka Tanzania yeye aliamua kum-channel mwanadada Kim Kardashian kwenye hii photoshoot yake, tunachoweza kusema ni kwamba tumejaribu, hii ni mara ya kwanza next time au mtu mwingine akija kujaribu tena may be anaweza kupatia, nywele hazikukaa vyema, the tattoos made it worse, makeup haikuwa vile ambavyo huwa tunamjua Wema Sepetu, we have seen her in better makeups kuliko hii.

Na Lavie Makeup alishafanyia recreation ya makeup ya hii kutoka kwa Kim Kardashian tunadhani kama Wema angeenda kwake kwa sababu alishafanya basi tungepata kitu kizuri

Kutoka Kenya, mwanadada Vera Sidika yeye ametoa photoshoot yake yeye alikuwa in red dress, red buttom pumps amemaliza na makeup nzuri, sleek hair, sote tunajua Vera is all about the sexiness & she gave us that, tunaweza kusema this photoshoot was our favorite of them all.

well afromates photoshoot ipi umeipenda zaidi?

Related posts

2 Comments

  1. these details

    … [Trackback]

    […] Here you can find 33826 additional Information on that Topic: afroswagga.com/habari/wema-sepetu-zari-the-boss-lady-vera-sidika-birthday-photo-shoots-review/ […]

  2. Best DMT shop Victoria

    … [Trackback]

    […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/habari/wema-sepetu-zari-the-boss-lady-vera-sidika-birthday-photo-shoots-review/ […]

Comments are closed.