Rapper Wiz Khalifa, 29 ame amua kuja na collection ya nguo kwa ajili ya watoto ambayo ame ipa jina la mwanae BASH CLOTHING LINE. Sebastian Bash ni mtoto wa Rapper Wiz Khalifa na Mwanamitindo Amber Rose,
Wiz Khalifa ame team up na wabunifu kutoka L.A Junk Food Clothing ku Launch Collection Hio Ya Baba na mtoto ambayo imekuwa inspired na vitu anavyo vipenda mwanae sebastian
Wiz akiongea na gazeti la People alisema “All the designs are based around Sebastian — all of his hobbies and the things that he’s into. I just really wanted it to feel personal to him, so when he sees it, he gets excited,” Khalifa, 29, tells PEOPLE. “He’s 3 years old, so he might not understand the concept of having his own clothing line. But the fact that all of his favorite things are all over his clothes, it makes him feel special; it makes him entertained by what he’s wearing.”
Collection hio itakua na inauzwa kuanzia $35 to $50 for kids and $45 to $80 for men’s (aside from the bomber jackets, which will be available for $150 and $250, respectively), the BASH By Junk Food capsule collection will launch October 15 and will be available for purchase in the store’s Venice, California, flagship and online at JunkFoodClothing.com.
Related posts
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…