Sio kila mtu ata attend red carpet ata pendeza, wengine lazima wata kuwa chini ya kiwango na hawa ndio walio kuwa chini ya kiwango chetu jana.
Leslie Mann Hatuna uhakika na nini kilimvutia kuvaa hii gauni, so much is going on kuanzia kiunoni kushuka chini, not our favorite
Dakota Johnson, why the old woman dress thou?
Halle Berry, bad hair can ruin the whole look. ange acha tu low cut yake
Her dress ni nzuri lakini akitembea vitu vyote hadharani, na shoe colors kidogo zime punguza the wow look
Pharell na mkewe mmmh

Related posts
4 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] There you will find 25322 more Info on that Topic: afroswagga.com/habari/worst-dressed-oscar-2017/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/habari/worst-dressed-oscar-2017/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 65436 more Info on that Topic: afroswagga.com/habari/worst-dressed-oscar-2017/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 156 additional Info on that Topic: afroswagga.com/habari/worst-dressed-oscar-2017/ […]