Jennifer Lopez mwanamziki kutoka marekani usiku wa kuamkia jana alikua akiperform Las vegaz kwenye show yake aliyo iita Al l IHave, ali perform sawa tu mpaka mwisho pale alipo bow (kuinama kushukuru) ili kumaliza show ndio nguo yake ilipo chanika. Hii pia ilimkuta shishi wetu hapa Tanzania. Ni Eidha nguo ilimbana sana au kitambaa kilikua Chepesi, Mambo ya mitindo hayo tuangaliege na vya kuvaa, angalia video chini kujionea.