SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

YEEZY SEASON 4 NA DISASTER ZAKE
Habari

YEEZY SEASON 4 NA DISASTER ZAKE 

Rapper na Designer Kanye West jana ameintroduce collection yake ya Yeezy Season 4 ambapo kwa kuingalia kidogo ina ahueni si sawa na zilizopita, season hii  wame fanya pamoja na Adidas, Ina boots, sandals na raba pia kwa nguo kuna Short dresses na nguo za kuogelea.ab29d64ad5caf73b8f50af26269e3c5c

yeezy-promo-6eba839b-4aff-47f7-a202-b80a9590cd04

 


rs_1024x600-160907140545-1024.Yeezy-Season-4-8
00-Kanye-Wests-Yeezy-Season-4-Fashion-Show-On-the-Scene-Featuring-Kim-Kardashian-Kendall-Jenner-Kylie-Jenner-and-more 3-Kanye-Wests-Yeezy-Season-4-Fashion-Show-On-the-Scene-Featuring-Kim-Kardashian-Kendall-Jenner-Kylie-Jenner-and-more

Japo kuwa na sifa zote hizo bado kumeonekana kuwa na tatizo hasa katika viatu ikiwa baadhi ya ma models walishindwa kuvitembelea na wengine kuamua kuvivua kwa kuona vina wasumbua.

 

Pia baadhi ya models walizimia kutokana na kukaa sana juani na kukosa maji, haya ni maoni ya baadhi ya watu kuhusiana na show hio ya Kanye.

 Unaweza kuondosha maoni yako kuhusu collection hii hapo chini kwenye comments.
Unaweza kutufollow kwenye social media page zetu.
Instagram: @AfroSwagga
Twitter: @AfroSwaggaTz
Facebook: AfroSwaggaMag

Related posts