Ikiwa tuna subiri New York Fashion week kwa hamu ambayo itaanza February 9 na kuisha Feb 16 2017, good news ni kwamba Kanye West ata release collection yake mpya ya Yeezy Season 5. We are here for it, maana tukikumbuka disaster ya mwaka jana tuna taka kujua mwaka huu Kanye kaja na nini na ame improve kiasi gani.
Yeezy season 3
Kanye ndie the most designer anaye tu surprise mwaka hadi mwaka na ubunifu wake lakini kitu cha kushangaza pia vitu vyake huwa sold out in a minute
Yeezy season 4, ina semekana Kanye ata release collection yake hio jumatano, Feb. 15 at 5 p.m, ambapo collection hii atakuwa ame patner na Adidas. We cant wait for this one.
Wasiliana nasi kupitia
Instagram – afroswagga
Facebook – afroswaggamag
Twitter – afroswaggatz
Related posts
3 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/habari/yeezy-season-5-inakuja-katika-new-york-fashion-week/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/habari/yeezy-season-5-inakuja-katika-new-york-fashion-week/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/habari/yeezy-season-5-inakuja-katika-new-york-fashion-week/ […]