SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

YEEZY SEASON 5 & WHY WE ARE PROUD OF KANYE
Habari

YEEZY SEASON 5 & WHY WE ARE PROUD OF KANYE 

tulikuwa tunaisubiri kwa hamu Yeezy season 5 kuona what Kanye installed for us, tunajua he always goes beyond our expectations na mwaka huu ame tu prove wrong. Miaka kadhaa iliyo pita Kanye hakuwa ana give out the best of him, kama nguo nzuri basi show mbaya. Kama show nzuri basi nguo hazieleweki lakini mwaka huu he did us proud as kila kitu kilikuwa sawa. Kila kitu kiwe sawa? thats not Kanye ila tu haja haribu sana mwaka huu

First of all the collection is wearable sio kama zilizo pita na matobo tobo, hii ana weza kuvaa mtu wa umri wowote bila watu kushangaa, tulicho penda zaidi ni yeye kutumia denim, denim si kitu cha kufa kipo hapa kila siku so this collection will actual live

Kitu kingine kilicho tufuraisha ni uchaguzi wa raangi compare na season zilizo pita hii ya sasa ame add some colors ambazo tunadhani bado ana doubt na kutumia rangi amechukua colors zilizo poa ila ni nzuri ana weza kuvaa mpenzi wa rangi na asiye mpenzi wa rangi

burgundy eeish we love us some burgundy

over sized sweaters & boots are still there and we love it

ametumia pia kitambaa cha kijeshi hii labda watavaa huko huko kwao huku kwetu hapana

lakini major thing ame fanya ni kumtumia model wa kiislam Halima Aden ame win peoples heart on this one, kitu kinacho endelea kwao ni kwamba rais wao hataki waislam yeye ali msupport Trump kabla haja tangaza ku ban waislam nchini kwao lakini baada ya tangazo hilo Kanye alifuta tweets zake zinazo husu support yake kwa Trump na vavavavump tunaona katumia model wa ki Islam tena kutoka Somalia Kanye scored hart trick on this one. Halima alipita katika jukwaa hilo in fur coat huku akiwa amevalia hijab yake way to go Kanye

ukiachana na hiyo watu wengi walienda kum-support kama mkewe Kim Kardashian ambapo alivaa full burgundy head to toe ni yeezy season 5

walikuepo pia mashemeji zake Kylie Kardashian, Tyga na watu maarufu wengine wengine

Cha kushangaza ni kwamba Kanye hakupanda kwenye jukwaa hilo baada yake ali baki back stage well its Kanye Being Kanye and well collection hii ime kuwa Debuted at New York Fashion Week 2017

Tuandikie maoni yako kupitia

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

Related posts

3 Comments

 1. Adult Live Cams Videos

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/habari/yeezy-season-5-why-we-are-proud-of-kanye/ […]

 2. Buy shrooms online in Melboune Australia

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/habari/yeezy-season-5-why-we-are-proud-of-kanye/ […]

 3. browse this site

  … [Trackback]

  […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/habari/yeezy-season-5-why-we-are-proud-of-kanye/ […]

Leave a Reply