SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Zawadi Ni Zawadi Miss Mbeya 2019 Kupewa Zawadi Ya Pikipiki
Habari

Zawadi Ni Zawadi Miss Mbeya 2019 Kupewa Zawadi Ya Pikipiki 

“Zawadi Ni Zawadi” Miss Mbeya 2019 Kupewa Zawadi Ya Pikipiki, wengi wakiwa wameshangazwa na kitendo hiki, ikiwa tumezoea kuona ma’miss wanapewa zawadi kama magari, pesa taslim nakadhalika, Mbeya mwaka huu wameamua kutoa pikipiki.

Sisi kwetu tunasema zawadi ni zawadi, anaweza kuhsindwa kukitumia yeye kama yeye (yaani miss aendeshe pikipiki yake) lakini kinaweza kumuingizia kipato kama ataajiri mtu na kuwa anaendesha kumuingizia pesa. Tunaweza kusema tuanze kujiandaa kisaikolojia kwa maana ndio kwanza michakato ya kutafuta Miss Mikoani, bado tuna safari ndefu ya kushuhudia mengi zaidi ya hili, na hivyo ndivyo moja ya vivutio vinavyofanya tuendelee kufuatilia shindano hili.

 

Miss mbeya 2019 ni Angelic (mwaka jana alishiriki miss mbeya na aliishia top 10)
1st runner up ni Nelly (mwaka jana alikuwa miss Mbeya no 1
2nd runner up ni Evengelina peter (mwaka jana alifanikiwa kuingia top 5 ya Miss mbeya)

Tuambie wewe unalionaje swala la Miss Mbeya Kupewa zawadi ya pikipiki?

Related posts

2 Comments

  1. Buy DMT Vape Pen Brisbane

    … [Trackback]

    […] There you can find 60756 additional Info to that Topic: afroswagga.com/habari/zawadi-ni-zawadi-miss-mbeya-2019-kupewa-zawadi-ya-pikipiki/ […]

  2. old pillsbury doughboy cookie jar,

    … [Trackback]

    […] Info on that Topic: afroswagga.com/habari/zawadi-ni-zawadi-miss-mbeya-2019-kupewa-zawadi-ya-pikipiki/ […]

Comments are closed.