Sahau Kuhusu Joto La Kiangazi Hakuna Kinacho Weza Kuingilia Kati Mionekano Hii Ya Moto Katika Red Carpet Ya Teen Choice Awards 2015
Jordan Sparks Mwanamziki Amevaa Gauni Ya Pundamilia (nyeupe na nyeusi) na Viatu Vyeusi Vilivyo Buniwa na hit franchise Monster High.
Britney Spears amechagua kuvalishwa na cleavage-baring Mikael D design. Nywele Zake zZenye Kijani Na Bluu Na Gauni Yake Ya Rangi Yamaziwa Vime Mpa Muonekano Wa Kuvutia Zaidi.
Jason Derulo Kwani Hawa Si Walisha Achana? (jason Na Jordan) Mbona Kama Mavazi Yao Yameendana? Pundamilia.
Rita Ora
Chroe Grace Moretz kavaa gauni la Gucci, Viatu Vya Zambarau Na Lipstick Nyekundu Wow.
Zendaya Nae Katika Pundamilia, Huwa Wanasema Nyeupe Na Nyeusi Haimuangushi Mtu. Ukiona Huna Cha Kuvaa Chagua Nyeupe Nyeusi Au Hata Nyekundu.
Related posts
1 Comment
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/habari/zuria-jekundu-teen-choice-awards-2015/ […]