Afro hair style huwa inakuja kwenye trend na kupotea japo Afro ni nywele za ki-Africa lakini mara nyingi wengi wetu huwa tunapenda kuziweka dawa ziwe sleek au kutumia weavings na wigs za sleek hair.
Kwa sasa tunaona Afro Hair Style inarudi na kuonekana kuanza ku-trend, watu maarufu mbalimbali wameonekana wakiwa na style hii mfano Nany ambae ameonekana nayo mara kwa mara, Mugizaji kutona Nigeria Rita Dominic nae ameonekana kuvutiwa na trend hii pamoja na mwanamuziki Maua Sama.
We say yes kwa hii trend na tungependa kuona watu mbalimbali wakiwa wana embrace this trend, kuwa brown skin girl as Queen Bey ameimba sio tu rangi bali kukubali kila kitu ndani yetu kuanzia nywele mpaka kucha.
Well Mates tupe maoni yako na hii trend.
Related posts
3 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/hair/afro-hair-style-trend/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here on that Topic: afroswagga.com/hair/afro-hair-style-trend/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 42714 more Information on that Topic: afroswagga.com/hair/afro-hair-style-trend/ […]