SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Faida Za Foronya Za Satin/Silk Kwenye Nywele
Hair

Faida Za Foronya Za Satin/Silk Kwenye Nywele 

Inawezekana unatumia pesa nyingi katika kununua products za nywele lakini bado unaona matokeo sio mazuri au yanachelewa kujionyesha, hii inawezekana ni kutokana na kitambaa cha mto au shuka unalolalia. Mito au mashuka ya cotton huwa yananyonya mafuta kwenye nywele lakini pia kuzifanya ziwe fizzy na kuzipa split end’s.

Lakini kwa upande wa kitambaa cha silk/Satin kipo smooth na kinaweza kukuondolea hayo matatizo yote, inashauriwa kutumia silk /Satin pillow case ambazo zina quality nzuri, inawezekana ukatumia silk lakini kama quality yake mbaya bado utakumbana na haya matatizo.

 • Hakuna tofauti ya kutumia kitambaa kimoja kati ya hivyo viwili, tatizo tu silk ni ghari kuliko satin kama kipato chako kidogo unaweza kutumia satin na kama unajiweza basi silk is for you.

Je Ni Silk Husaidia Nini Katika Uboreshaji Wa Nywele Zako?

 • zinafanya nywele kuwa na afya

Kwa namna moja au nyingine silk / Satin pillow case zinafanya nywele kuwa na afya, hii inatokana na kwamba hazinyonyi mafuta yaliyopo kwenye nywele na kufanya nywele iwe hydrated. Kama unalalia cotton pillow case unaweza kuwa umekumbana na hii umeenda salon umetengeneza nywele zako na kupaka mafuta lakini ukiamka siku inayofuata nywele imechachamaa kama umepigwa shoti, hii inatokana na kitambaa cha mto kunyonya mafuta katika nywele zako.

 • Kufanya Nywele Zako Zisifungamane

Wakati ukilalalia mito yenye kitambaa cha cotton unaweza kufanya nywele zako zikafungamana na kukupa kazi wakati wa kuchana ni tofauti na ukilalia kitambaa cha silk, kwa sababu kipo smooth hakisababishi nywele zako kufungamana na hii itakupa urahisi kwenye kuchana.

 • Kuepusha kukatika Kwa Nywele

Mito yenye kitambaa cha silk haivuti nywele ukilala tofauti na cotton, unaweza kuamka asubuhi ukakuta nywele zimefutwa na mto, au kitambaa hiko kimesababisha nywele zifungamane na ukapata tabu wakati wa kuchana na kusababisha zikatike. Silk yenyewe inahifandhi mafuta, ipo smooth haivuti wala kufunya nywele zishikane.

Related posts

6 Comments

 1. สมัคร superslot

  … [Trackback]

  […] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/hair/faida-za-foronya-za-satin-silk-kwenye-nywele/ […]

 2. golden teacher mushroom xxl,

  … [Trackback]

  […] There you can find 53958 additional Information on that Topic: afroswagga.com/hair/faida-za-foronya-za-satin-silk-kwenye-nywele/ […]

 3. hawaiian magic mushrooms

  … [Trackback]

  […] Here you will find 36380 more Info to that Topic: afroswagga.com/hair/faida-za-foronya-za-satin-silk-kwenye-nywele/ […]

 4. pay debt

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/hair/faida-za-foronya-za-satin-silk-kwenye-nywele/ […]

 5. big butt teen bbw cam

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/hair/faida-za-foronya-za-satin-silk-kwenye-nywele/ […]

 6. 4-aco-dmt questionnaire,

  … [Trackback]

  […] There you will find 96487 additional Info to that Topic: afroswagga.com/hair/faida-za-foronya-za-satin-silk-kwenye-nywele/ […]

Comments are closed.