SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

JOKATE ATOA ANGALIZO KWA WATEJA WA KIDOTI
Habari

JOKATE ATOA ANGALIZO KWA WATEJA WA KIDOTI 

Jokate Mwegelo ambae ni mwanamuziki, Mwanamitindo, Miss Tanzania namba 2 (2006), na pia ni mjasiriamali ambae ana miliki kampuni ya Kidoti inayo husiana na mambo ya urembo hasa upande wa kina mama, Jana kupitia Account yake ya Instagram ametoa angalizo kwa wateja wake wa kidoti kuhusu bidhaa feki zilizopo mtaani na endapo mtu atatumia bidhaa hizo na kuathirika kampuni yake haitohusika. Jokate aliandika

TANGAZO MAALUMU KWA WATEJA WOTE  WA BIDHAA BORA ZA UREMBO ZA KIDOTI!!!

kidoti fake

Hizi kwenye picha ni bidhaa feki za kidoti. kwa yoyote atakayetumia bidhaa hizi na akaathirika kutokana na kukosekana kwa ubora kampuni ya kidoti haito usika na malalamiko yoyote yale

Asanteni.

Na kama haitoshi alionyesha muonekano mpya wa nywele za Kidoti ambavyo una fungwa na pia kulitolea maelezo kama ifuatavyo

unnamed

Tunashukuru Kwa Support Yenu. Kwa Taarifa Fupi Tu. Packages Zetu Mpya Muonekano Wake Ni Kama Huu Hapa. Mabadiliko Makubwa Ni Kuwepo Kwa Kifungo Cha Kufungia Kila Package Kumpa Urahisi Mteja Kuweza Kufungua Na Kufunga Kifurushi Bila Kuharibu Design Ya Package Na Pia Kuweza Kushika Nywele Wakati Wa Kufanya Maamuzi Ya kununua Kuangalia Texture Ya Nywele. Tuna Staili Nyingi Za Nywele Zenye Package Tofauti Tofauti Kulingana Na Design Ya Nywele. Tunawakaribisha Kufuata Ukurasa Wetu Wa @official_kidoti @official_kidoti Na Kujionea Bidhaa Zetu Zote “Original” Na Kamwe Usikubali Kuuziwa Bidhaa Feki Ambayo Haizingatii Viwango Vyetu Vya Ubora Wa Sasa Ambao Tumejiwekea Sokoni. Nunua Kidoti ™. Uswngwile #Kidoti

Related posts

4 Comments

 1. Keepers Creeper Mushrooms – 4 Oz

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/hair/jokate-atoa-angalizo-kwa-wateja-wa-kidoti/ […]

 2. ufabet365

  … [Trackback]

  […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/hair/jokate-atoa-angalizo-kwa-wateja-wa-kidoti/ […]

 3. molly vs ecstasy drug,

  … [Trackback]

  […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/hair/jokate-atoa-angalizo-kwa-wateja-wa-kidoti/ […]

 4. best shroom chocolate bars​

  … [Trackback]

  […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/hair/jokate-atoa-angalizo-kwa-wateja-wa-kidoti/ […]

Leave a Reply