Anaenda kwa jina la Stephanie Del Valle kutoka Puerto Rico ndiye Miss World 2016, ana miaka 18 ni Miss wa pili kutokaPuerto Rico kushinda taji hili baada ya Wilnelia Merced kushinda mwaka 1975.
Washindi wengine walio fuatia ni kutoka Dominican Republic na Indonesia.
top five ilikuwa kutoka Kenya, Indonesia, Dominican Republic and Philippines na Puerto Rico ambae alishinda, Hongera jirani zetu Kenya kwa kushinda Miss World Africa
LIST NZIMA YA WASHIDI
Pre-pageant challenges
- Top Model: People’s Republic of China, Jing Kong
- Multimedia: Philippines, Catriona Gray
- Sport: Cook Islands, Natalia Short
- Talent: Mongolia, Bayartsetseg Altangerel
- Beauty With a Purpose: Indonesia, Natasha Mannuela
Miss World 2016: Puerto Rico, Stephanie del Valle
2nd place: Dominican Republic, Yaritza Miguelina Reyes Ramírez
3rd place: Indonesia, Natasha Mannuela
Top 5
- Kenya, Evelyn Njambi Thungu
- Puerto Rico, Stephanie del Valle
- Indonesia, Natasha Mannuela
- Dominican Republic, Yaritza Miguelina Reyes Ramírez
- Philippines, Catriona Gray
Top 10
- Philippines, Catriona Gray
- Indonesia, Natasha Mannuela
- Belgium, Lenty Frans
- Brazil, Beatrice Bessera de Fontoura
- Kenya, Evelyn Njambi Thungu
- People’s Republic of China, Jing Kong
- Dominican Republic, Yaritza Miguelina Reyes Ramírez
- Puerto Rico, Stephanie del Valle
- United States, Audra Mari
- Korea, Hyun Wang
- People’s Choice: Mongolia, Bayartsetseg Altangerel
Top 20
- People’s Republic of China, Jing Kong
- Philippines, Catriona Gray
- Cook Islands, Natalia Short
- Mongolia, Bayartsetseg Altangerel
- Indonesia, Natasha Mannuela
- France, Morgane Edvige
- Kenya, Evelyn Njambi Thungu
- United States, Audra Mari
- India, Priyadarshini Chatterjee
- Slovakia, Kristina Cincurova
- Belgium, Lenty Frans
- Puerto Rico, Stephanie del Valle
- Australia, Madeline Cowe
- Thailand, Jinnita Buddee
- Brazil, Beatrice Bessera de Fontoura
- Ghana, Anthoinette Delali Kemavor
- Japan, Priyanka Yoshikawa
- Dominican Republic, Yaritza Miguelina Reyes Ramírez
- Hungary, Timea Gelencser
- Korea, Hyun Wang
Related posts
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…