Rihanna amekua akipata collabo na makampuni mengi yakiwepo ya bidhaa za viatu hivi karibuni tuliona amefanya kazi na puma,juzi tumeona kazi yake mpya akiwepo na kampuni ya viatu vya manoloblahnik ambapo wametengeneza boots na heels kwa kutumia Jeans, Ndio jeans na viatu ni vizuri mno viatu hivi vitauzwa katika maduka ya manolo tu ulimwenguni na bei yake ni kuanzia $895 mpaka $3,995.
Rihanna ametoa onyo kwa watu watakao vaa hizi boots kwa kuziita trouble “tatizo” na haya ndio maneno yake wakati akiojiwa na gazeti la Vogue British litakalo toka mwezi ujao, ameongelea kuhusu hii collabo na manolo “Those boots are dangerous!” she told British Vogue. “If you’re trying to get back home to your bed, don’t wear them boots! You will get kidnapped in those boots; those boots are trouble.”
hivi vinaitwa “Dancehall Cowgirl
hivi vinaitwa Sea Salt.
Related posts
4 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/hair/rihanna-x-manoloblahnik/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/hair/rihanna-x-manoloblahnik/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/hair/rihanna-x-manoloblahnik/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/hair/rihanna-x-manoloblahnik/ […]