The Do & Dont’s Of Heels At The Office
Kufanya kazi kwenye makampuni, serikalini au kuwa na kazi ya ofisini kuna namna fulani ambayo unatakiwa kuvaa, japo hakunaga limit ya uvae kiatu kirefu au kifupi lakini wengi wanao fanyakazi sehemu hizi wanapenda kuvaa heels kutokana na ile elagancy inayokuja kutokana na viatu hivi. Lakini…
Airport Looks From Wasafi Festival Performer’s
Kama kuna kitu tunakitupia macho kwasasa ni Wasafi festival, tunapenda kuona namna ambavyo wasanii wapo pamoja na kutupa ideas mbalimbali za mavazi. Ikiwa week hii festival hii inaelekea Sumbawanga tumeona wakiwa ndio wako safarini kuelekea sehemu husika tukaona sio mbaya kuleta hapa airport sytles zao…
UnpopularOpinion: Kwasababu Kipodozi Kina Trend Haimaanishi Ni Kizuri
Kama kuna kitu ambacho wengi tunaumizwa nacho ni kutumia vipodozi kwasababu tu tumeona kina trend na kila mmoja anakisifia kimempenda au kupendezesha ngozi yake. Kwasasa makampuni mengi ya mavazi na urembo yanatumia influencers kutangaza bidhaa zao, inawezekana huyo anaesema hiko kipodozi kimempenda hata hajakitumia ilaamelipwa…
Yacht Outfit Ideas
Baada ya pirikapirika za week nzima inawezekana mmeamua kwenda mapumzikoni kutuliza akili pamoja na miili yenu, kitu ambacho ni kizuri kwenda ku-refresh na ku-catch up na Dunia as we all know hatujaja Duniani kutafuta tu bali na kutumia pia. Leo tunakuletea outfit kadhaa ambazo unaweza…