SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

BOOTS IT UP LIKE KIM KARDASHIAN
NEW YORK, NY - SEPTEMBER 06: Kim Kardashian is seen walking in Soho on September 6, 2016 in New York City. (Photo by Raymond Hall/GC Images)
How to Rock

BOOTS IT UP LIKE KIM KARDASHIAN 

Kim anaanza kufuata nyayo za Riri kuwa dis minder na kuvaa chochote aka kipendezesha, tuna kumbuka chachacha? vile viatu vya nylon juani vina unguza? sasa yeezy katengeneza boots zake yeah lazima uwaze how? lakini ndio hivyo kazitengeneza na jana kazi introduce zitakuepo katika Yeezy season 4, Kim amezivaa na Denim on Denim sio muonekano tulio upenda sana lakini what to expect kutoka kwa Kim na Kanye?

kim-kardashian-west-clear-boots

Muonekano wa pili wa Kim in boots ambao nao ulikua gumzo mtandaoni ni hizi Balenciaga Silver Boots ambazo alivaa na silver metallic dress, gauni ilikua ya kuonyesha na of course akaivaa bila bra (attention seeker) kama kawaida yake, hii look nayo ni mmmh ila kwa sababu kavaa Kim tutasemaje sasa

kim-kardashian-west-balenciaga-boots-1

Kama kawaida una weza kutupa maoni yako kupitia

Facebook – afroswaggamag

Instagram – Afroswagga

Twitter – Afroswaggatz

Related posts