Macrida Joseph ni model kutoka Tanzania ambae ana tupa Denim Goals, kila picture anayo ipost macrida akiwa kavaa jeans basi ujue ame istyle hio jeans to kill na hizi ndizo zilizo tuvutia kutoka kwake
Denim & Striped Shirt Game
over sized shirt, blue denim trouser, clear glasses na white sneakers, and the love we have for the lipstick is major.
Hot pants na striped shirt aliyo iachia vifungo huku ndani amevalia white tee, denim choker, miwani na small hearings is all you need kipindi hiki cha joto, huwezi kuacha ku notice the bag pack
Denim ufukweni striped sleeveless shirt, hot pant ya jeans na flats za brown, ame beba one shoulder bag aka accessorize mtoko wake na kofia na silver statement bracelets
The denim Coat
tume penda huu muonekano kwa sababu mbili kwamba unaweza ku switch uka vaa hilo gauni la ndani peke yake pia una weza kuvaa hio coat jeans peke yake, lakini pia ukaamua kuwa stylish kama macrida and did we mention kwamba a brown belt is a must have? now you know
Tupe maoni yako kupitia
Instagram – afroswagga
Facebook – afroswaggamag
twitter – afroswaggatz
Related posts
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…