Ina weza kuwa mapema mno kuandikia hii kitu lakini Trust us the soon unajua uvae nini siku hio the better, maana ukikaa mpaka siku za mwishoni watoto wa kiswahili tuna sema zima moto ni mbaya na utaishia na lile neno ninge jua ninge tafuta nguo mapema, well afroswagga is a life saver linapo kuja swla la fashin, life style na beauty na ndio maana leo tukaona sio mbaya tukaanza kukudokezea cha nini uvae siku hio leo tutaanza na rangi nyekundu as ndio rangi ina tawala siku hio ya malovey dovey
kwa sababu tarehe hio ina angukia katikati ya week, huitaji kwenda kazi all gram up na rangi nyekundu una weza kuchagua either uvae viatu, ubebe kipochi chekundu, uvae koti jekundu au una weza kuwakilisha na red lipstick
Casual hapa tuna maanisha streer style kwa wale tutakao kuwa tu mtaani, pia full red sio mahala pake jaribu kwenda as minimum as you can na hii rangi, hutaki kila mtu ajue ume vaa nyekundu kwa ajili ya valentine hapa pia una weza kuvaa kipochi, chekundu kama mdada hapo chini
Long coat / cardigan nyekundu to make a statement kwamba kama upo lakini kama haupo
Kama ni date night hapa una weza kuvaa full red, vile upendavyo kama ideas tunazo kuonyesha hapo chini
red jumpsuit
red mid dress
red ruffle & off shoulder mini dress
Ni matumaini yetu ume pata ideas chache za kujua nini uvae siku hiyo but hey hii ndo kwanza idea namba moja more zinakuja stay with us.
Kuwasiliana nasi tembelea
Instagram – afroswagga
Facebook – afroswaggamag
Twitter – afroswaggatz
Related posts
7 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/how-to-rock/valentines-outfit-ideas-1/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/how-to-rock/valentines-outfit-ideas-1/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here on that Topic: afroswagga.com/how-to-rock/valentines-outfit-ideas-1/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/how-to-rock/valentines-outfit-ideas-1/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/how-to-rock/valentines-outfit-ideas-1/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/how-to-rock/valentines-outfit-ideas-1/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/how-to-rock/valentines-outfit-ideas-1/ […]