SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

BEYONCE AME DEBUT THE OFF SHOULDER TREND
I'm A Celebrity

BEYONCE AME DEBUT THE OFF SHOULDER TREND 

Off shoulder ndio habari ya mjini kwa sasa, na kumuona Qeen Bey kavaa basi ina maanisha the trend is here to stay. Beyonce amevaa Off Shoulder  romper ya rangi nyeusi na nyeupe ambapo amevalia romper hio na belt na pump heels nyeusi

2-beyonce-Alexis-off-the-shoulder-ruffle-black-white-romper

Bey akaongezea mapambo kama hereni, miwani na kikukuku (we see you bey)bey

 

Related posts