Wendy ni mtangazaji katika kipindi cha Wendy Williams Show ambacho kinaongelea mambo mbalimbali ukiwemo umbea na kuwarekebisha watu walio kosea, Kwa miezi kadhaa wendy ame kuwa akifanya diet ilikupata muonekano mzuri au “sexy look” kama wenyewe wanavyo sema na hivi ndivyo alivyo kuwa sasa je Diet ime msaidia Wendy?
“I can’t say that that has made me lose weight because I already lost 50 lbs. in three years, which I find to be amazing. Because, of all the crazy diets I’ve been on, none have ever been as effective as [saying to myself], ‘Just push back, fatso. Just stop eating so much,’” she shared. “And I don’t love food as much as I used to,” added Williams, who dropped refined sugars, dairy and eating after dark and “picked up on other great habits like juicing.” amesema Wendy
Related posts
5 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/how-you-do/diet-ime-msaidia-wendy-williams/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 47754 additional Info on that Topic: afroswagga.com/how-you-do/diet-ime-msaidia-wendy-williams/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/how-you-do/diet-ime-msaidia-wendy-williams/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/how-you-do/diet-ime-msaidia-wendy-williams/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/how-you-do/diet-ime-msaidia-wendy-williams/ […]