So Kylie Jenner karudi kwenye macho ya watu na mitandao baada ya kujifungua, yes she is in her 20’s and yes tayari ana mtoto. Kylie alikua na ujauzito wa mwanamuziki Travis Scott ambapo waliamua kuwa low key kwa miezi tisa mpaka pale Kylie alipojifungua tarehe 1 February 2018, Kylie na Travis wamemuita mtoto wao Stormi. Congrats Kylie
Well Kylie is back baada ya muda mrefu na katika week mbili tu toka ajifungue Kylie ame loose lots of baby weight & she still is body goals like who wouldn’t want this sexy body? flat tummy & curve’s and all
Mara ya kwanza alikuwa spotted akiwa na best friend wake Jordyn Woods ambae tunaweza kusema ameshinda bff of the year she been with her since the begging to end , walikua Calabasas na inasemekana walikuwa wanaenda kwenye meeting in L.A. Kylie alivaa biker pant nyeusi, crop top na jacket la cream with kicks, well she did look amaizing for a two weeks mother
Ame accessorize mtoko wake na black fanny pack, wakati bff wake yeye alikuwa in full black suruali na top
Lakini alikuja kuonekana tena mara ya pili in full burgundy track suits, akiwa amemalizia muonekano wake na cut eye glasses ambazo zipo kwenye trend kwa sasa
Related posts
3 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/how-you-do/kylie-jenner-is-back-after-giving-birth-and-she-still-is-body-goals/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/how-you-do/kylie-jenner-is-back-after-giving-birth-and-she-still-is-body-goals/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 51016 additional Information on that Topic: afroswagga.com/how-you-do/kylie-jenner-is-back-after-giving-birth-and-she-still-is-body-goals/ […]