SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

LOLA KIRKE SURPRISE ACCESSORY AT GOLDEN GLOBES AWARD
Hair

LOLA KIRKE SURPRISE ACCESSORY AT GOLDEN GLOBES AWARD 

74th Annual Golden Globe Awards zilizo fanyika  Beverly Hills California zilikua zina visanga vyake tofauti tofauti kuanzia Sarah Jessica Parker kuvaa bridal dress, Cuba Gooding Jr Kuvaa koti sililo mtosha basi ali mradi tafrani lakini kali iliyo sambaa sana mitandaoni na kufanya watu waongee sana ni kuhusu Lola Kirke ambae ni mwanamuziki lakini pia ni muigizaji, Lola aliwasili katika hafla hio akiwa amependeza katika pink floral dress iliyo katwa mikono.

Kilicho wa surprise watu na kufanya wamuongelee ni akinyanyua mikono yake haja nyoa nywele za makwapani, hii ime sababisha watu wamuongelee sana ikiwa wengine wakisema kila mtu ana uhuru wake na wengine wakisema hapana mwanamke hatakiwi kuwa hivyo.

hii si mara ya kwanza Lola kufanya hivi, mwaka 2015 pia alitokelezea na accessory yake hii pia. Lola alichukua muda wake ku post katika social media na kuandika  “Ok! Now I’m really ready. Thanks to all you beautiful people who didn’t send me death threats on account of my #awesome  #hairyarmpits ! You rule. And thank you @susanwinget for always making me feel cool and @reginaharris for my make up, @blakeerik for my hair and @andrewgn for my kickass dress!

haya mtuambie maoni yenu je ni sawa au si sawa kupitia

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

Related posts

2 Comments

  1. los cabos real estate

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/how-you-do/lola-kirke-surprise-accessory-at-golden-globes-award/ […]

  2. xpel folie kosten

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/how-you-do/lola-kirke-surprise-accessory-at-golden-globes-award/ […]

Leave a Reply