Wanasema when there’s will there’s way, YES kama una kumbukumbu Rapper kutoka Tanzania Mabeste alipata matatizo na mkewe Lisa ambapo Lisa alikuwa hospitalized kwa miezi huku Mabeste akiomba msaada ili kuweza kumsaidia kumponyesha mpenziwe ( Lisa) ambae pia ana mtoto nae mmoja, Hayo yote yame pita maana Lisa alipona na sasa wana sheherekea harusi yao.
Siku chache zilizo pita Lisa alishare picha za bridal shower yake ambayo ali opt Pajama Bridal Shower akiwa na marafiki zake
Na leo wame share picha zao za harusi Hongera Lisa na Mabeste, Lisa went for off shoulder white Cinderella dress kutoka weddingbellstanzania wakati Mabeste amevaa black suit na white shirt.
Dress: @weddingbellstanzania @weddingbellstanzania @weddingbellstanzania thank you guys your the best in bride services!! Photographer : @jimmysongeorge Hair : @marytophair
Related posts
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…