SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

RIHANNA AME SUKA DREADLOCKS YAY OR NAY?
Hair

RIHANNA AME SUKA DREADLOCKS YAY OR NAY? 

Unapo choka ku – rock natural hair na wigs unamuuna tu kuziondoa na kusuka rasta, na dreadlocks ndo habari ya mjini kwa sasa, tume waona watu mbalimbali katika rasta seems like Rihanna hapendi kuwa common na wengine maana trend ime poa kidogo yeye ndo kaamua asuke.

391BDB5000000578-0-image-a-15_1475630002578

Rihanna ame onekana New York City akiwa amesukia rasta hizo huku amevaa off shoulder t- shirt yenye jina na picha ya tupac, leggins na raba. 391BDE2A00000578-0-Rihanna_stepped_out_in_a_vintage_Tupac_Shakur_tee_in_New_York_Ci-m-28_1475633705909

Je amependeza na rasta hizi au hapana?

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggatz

Twitter – afroswaggamag

Related posts