Samantha Jansen ni mwanadada anae tokea South Africa ambaye tulipata kumjua alipo shiriki katika shindano la Big Brother Hotshots ambapo ndani yake alikuwepo a brother kutoka Tanzania Idris Sultan ambae hakupoteza nafasi alivyo toka BBA wakawa wapenzi well couple ilipendwa sana na we hope mme mkumbuka Samantha kwa hayo maelezo yetu marefu lol, Samantha is a fashion killer tunaona ameamua kuingia kwenye u-model au kuna kitu she is working on ambapo ame release hizi picha mpya and man she looks like a chocolate cake we are loving her
Samantha akiwa katika vazi la kitenge na sneakers we are loving all of this
Red Velvet dress, choker, clear boots & little accessories Samantha makes a fashionable road crosser
Yes Yes Yes to the hair, cape, plaid shirt,bag pack & boots a sexy casual girlie
Related posts
3 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More here on that Topic: afroswagga.com/how-you-do/samantha-jensen-is-stopping-traffic-in-style/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/how-you-do/samantha-jensen-is-stopping-traffic-in-style/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/how-you-do/samantha-jensen-is-stopping-traffic-in-style/ […]