Dongo Janja alianza muziki akiwa mdogo sana, na amekua akiwa katika muziki tunamuona kipindi kile alikua hayupo sana into fashion tuna weza kusema hivyo au labda kwa sababu alikua mdogo alikua ana chaguliwa nguo au ana vaa ilimradi kavaa sio kama sasa, tunamuona dogo janja kakua kimavazi ana vibes fulani za kijamaica ambazo kiukweli zina mpendeza mno
gold, nyeupe na nyekundu vibes tumependa alivyo cordinate color, kanga’aa
Casual black na Snickers you can never go wrong with black
nyeupe na nyeusi
Hii ni moja kati ya our favourite, tunamuona sana dogo janza na hizi floral shirts, zina mkaa vizuri na kingine ana jua kufanya combination ya rangi, Dogo janja simamia hapa hapa
Swagging all the way up
Denim on Denim
Related posts
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…