Christmas imebaki siku chache tu ifike, kwa wengine huwa wana subiri kusheherekea siku hii ma kwao na familia zao, wengine huwa wana zisubiri zile holiday wapumzike kwetu sisi wengine huwa tuna subiri zawadi (yes tunaiitaga Gift Season) kwa wale ambao huwa mna toa zawadi na mpaka sasa huja jua umpe zawadi gani mtu wako wa kiume (baba, kaka, mjomba, shemeji, mchumba nk) hizi ndizo idea chache za nini umpe katika kipindi hiki cha Christmas
Bagpack, men tend to be organizer ukimchukulia backpack atapata sehemu za kupanga vizuri vitu vyake kama laptop na vitu vidogo vidogo, simu,ipod etc
Wallet, Every man need one
Tie Clip
hear phone holder
phone case
I-pod case
Socks hizi ni a must have kwa mwanaume
Mawani
White tee kwa ajili ya casual days au mazoezi
Related posts
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…