SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

CHRISTMAS GIFTS IDEAS FOR HER
Lifestyle

CHRISTMAS GIFTS IDEAS FOR HER 

Christmas season ni season ya kutoa na kupokea, tunapo sema zawadi for her, tuna maanisha mtu yoyote mwenye jinsia ya kike awe mama,dada,shangazi, rafiki yako wa kike au hata mpenzio. Kama bado huja mnunulia zawadi na una tamani lakini huna idea ya umnunulie nini au hujui kabisa nini kitamfaa, hizi ni idea ambazo zina weza kukusaidia. Msichana yoyote ukimpa kati ya hivi ata furahi

Manyatta ni accessories designer kutoka Tanzania wana tengeneza urembo mzuri na kwa sasa wana sale kubwa kwa ajili ya Christmas, unaweza kutembelea page yao ukachagua kipi kitamfaa mpendwa wako kama ni hereni,mikufu,bangili etc. bonyeza hapa kuona

15535448_160392321107759_8223173590699212800_n

Beauty Camera, kwa wakati wa sasa kila mtu ana taka kupiga picha nzuri, video nzuri una weza kumnunulia cheap quality camera. FUJIFILM-Instax-Mini-8-Instant-Camera-£7495-from-eBay-seller-uk-digital-camera

Wadada wa sasa wana penda urembo una weza kutafuta Lipstick nzuri uka mnunulia gallery-1475790093-luxlips

A must have handbag kama ni mama au dada hii itamfaa

gallery-1476284647-just-fab-bag

makeup brush & makeup Brush Bag gallery-1476309367-sephora-brush-set

Perfume, Hakuna mwanamke asiye penda kunukia na hakuna such a thing kama ana perfume nyingi  Molecule-01-Perfume

Pasi ya kunyooshea nywele Remington-S8596-Keratin-Radiance-Straightener

Mito gallery-1476723990-il-fullxfull827709050-sla1

Tupe maoni yako kupitia

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

Related posts