SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

ELIZABETH MICHAEL STAR WA MWEZI KATIKA MITOKO
I'm A Celebrity

ELIZABETH MICHAEL STAR WA MWEZI KATIKA MITOKO 

Ikiwa tumeingia mwezi wa tano na tumeumaliza mwezi wa nne, kuna mitoko mingi tuliiona mwezi wa nne kutoka kwa watu mbali mbali lakini Lulu katufuraisha zaidi, Lulu ambae wengi wana muita Fashion Icon au slayer katika huu mwezi wa nne ame wakilisha vyema watu maarufu wengine kwa kutokelezea vizuri zaidi iwe nywele, make up, casual au sexy. na hizi ndizo zilizo tuvutia zaidi kutoka kwake

13151359_867735483352338_1131639645_n 924907_249034958769243_1108898894_n

Lulu akiwa amevalia vigauni vyekundu 12317758_1703824279901009_477108214_n 13108585_889132021195258_652428992_n

Lulu katika min skirts

13102364_1754418188104682_761475690_n

Lulu Casual

12905110_1585008395148368_848697643_n

Lulu ndani ya jumpusuit na big hair.

13092356_1705147486429317_298918170_n

hii gauni na jinsi alivyo lembwa kapendeza mno 12976371_1069583276446496_251127744_n

Related posts

3 Comments

  1. สล็อตวอเลท

    … [Trackback]

    […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/lifestyle/elizabeth-michael-star-wa-mwezi-katika-mitoko/ […]

  2. bonanza178

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/lifestyle/elizabeth-michael-star-wa-mwezi-katika-mitoko/ […]

  3. Fysio Dinxperlo

    … [Trackback]

    […] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/lifestyle/elizabeth-michael-star-wa-mwezi-katika-mitoko/ […]

Leave a Reply