SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

OPEN CLOSET IDEAS
Lifestyle

OPEN CLOSET IDEAS 

Addiction mpya tuliyo nayo kwa sasa ni open door closet, wa Africa wengi nyumba zetu zina yale makabati yenye milango si mbaya hasa pale unapo kuwa huja panga nguo ni namna nzuri ya kuficha aibu yako, lakini open closet ni nzuri kwanza ina chukua nafaso ndogo ndani yani ile nafasi inayo chukuliwa na kabati kubwa ina kua ime pungua.

Open-Closet-Organizer-Ideas-with-Wall-Mounted-Wired-Shelving-Ideas-Design

Lakini pia ina kupa motisha ya wewe kupanga vitu vyako vizuri kabisa kama kupiga pasi kabisa, kupanga kwa rangi ili upate muonekano mzuri

topopen-closet-ideas-floating-open-closet-on-wall-ideas-rooms-with-open-closet-decor-open-closet-with-iron-based-decor-shoes-on-shelves-in-open-closet-diy-decorating-ideas-for-open-closet-970x970

lakini pia kama una taka kuficha kabati lako una weza kuongezea pazia ika saidia kuficha vilivyomo ndani na kupunguza vumbi

ideas-for-the-open-closet-in-the-room-how-to-hide-0-861

kama una chumba kimoja hii ni best choice yako kuliko kuweka kabati kubwa litakalo maliza nafasi open closet ni best choice. ideas-for-the-open-closet-in-the-room-how-to-hide-1-861

Je ume penda? tuambie kupitia

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

Instagram – afroswagga

Related posts