Harusi ya mtoto wa Rais wa Nigeria Buhari, ime fanyika week iliyopita huku wakiunganisha familia mbili za kitajiri the Buhari’s & the Indimi”, Bibi Harusi ana itwa Zahra Buhari na bwana harusi Ahmed Indimi, harusi ilifanyika Maiduguri in Borno State na wageni waalikwa walikuwa watu maarufu mbali mbali akiwemo Vice president wa Nigeria, wachekeshaji,former na currently Lagos State Governor na wengineo wengi. Hizi ni baadhi ya official picha za harusi hio
Traditional Look Ya Zahra Buhari
Zahra & Ahmed wakikata cake
Family photo
Zahra na Ahmed wame oana kiislam hio ndio sababu wedding dress ya Zahra ime valiwa na kiremba bila kuonyesha nywele
Decor on point
Too much cuteness
Zahra & Ahmed Wakiwa wana cheza,
Wedding cake
Related posts
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…