SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

THE INTERNET IS GOING CRAZY OVER BEYONCE’S PREGNANCY ANNOUNCEMENT
Habari

THE INTERNET IS GOING CRAZY OVER BEYONCE’S PREGNANCY ANNOUNCEMENT 

Kila kitu siku hizi ni mitandao, hamna kusikia cha redioni, magazetini wala television sasa hivi habari tuna zipata moja kwa moja kutoka kwa wahusika well kinacho trend sasa hivi ni mimba ya mwanadada Beyonce, jana alitoa announcement hio kupitia mtandao wa Instagram, akapost picha yake akiwa anaonyesha tumbo lake na caption kwamba ana expect

with a caption “We would like to share our love and happiness. We have been blessed two times over. We are incredibly grateful that our family will be growing by two, and we thank you for your well wishes. – The Carters”

na kila mtu alikuwa ana mpost beyonce wengine wakisema ni twins kama hapo alivyo andika wame kuwa blessed two times over, come to think of it huu mwaka mastaa wana jifungua twins tu au? maana mke wa Pharell Williams kajifungua triples, Back to Bey ame vaa simple sana kwenye photo shoot yake, blazia ya rangi ya damu ya mzee yenye viaua vya pink, pant ya batiki yenye blue na weupe na kafunikwa na net ya kijani,

watu wameanza na ku geuess kwamba ni mtoto wa kike na wa kiume as kavaa blue na pink lakini what if kavaa hivyo kwa sababu bado hana uhakika na jinsia? mmh

na wengine wameamua kufanya Beyonce pregnancy announcement after party people are crazy like Thar lol, anywas hivyo ndivyo dada yetu Beyonce alivyo break the internet Major Congratulations to Beyonce na Jay Z na of course Ivy kwa kuwa dada kijacho (if only it makes sense  lol)

Related posts

3 Comments

  1. Website

    … [Trackback]

    […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/lifestyle/the-internet-is-going-crazy-over-beyonces-pregnancy-announcement/ […]

  2. 다시보기 사이트

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/lifestyle/the-internet-is-going-crazy-over-beyonces-pregnancy-announcement/ […]

  3. dewajitu

    … [Trackback]

    […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/lifestyle/the-internet-is-going-crazy-over-beyonces-pregnancy-announcement/ […]

Leave a Reply