Ulimwengu wa urembo unazidi kukua karibu kila mwanamke kwa sasa anajua kujipaka makeup, na wengine wasiojua basi wanapakwa na wale wanaojua, kufanya mambo kuwa rahisi basi wale make up artist wanaojua huwa wanafundisha kupaka hizi makeup’s kwa darasa inaweza kuwa kwa mwezi au week inategemea na muda na mipango ya mwalimu huyo.
Well kutokana na ili tukajiuliza Je? hawa walimu wanajua mtu anataka kuwa makeup artist wa aina gani? na hawa wanafunzi huwa wanachukua muda wao kutaka kujua zaidi kuhusu makeup au ni kwenda na trend kwa sababu biashara hii inalipa kwa sasa basi na wewe ufanye? sisi kwetu makeup artist ni sanaa, unaweza kujifunza ukafanya lakini usiwe serious kama yule ambae anafanya kwa kupenda na sio kwa ajili ya trend. Hii ndio utakuta wengi wanafanya kitu kimoja hamna uniqueness lakini wale ambao huwa wanafanya kwa upendo huwa wanajaribu vitu vingine mara kwa mara. Kuna aina nyingi za makeup artist lakini leo tunakuletea hizi 4 ambazo ndizo zinazo julikana sana.
Fashion Makeup Artist
Hawa ni wale ambao wapo nyuma ya run ways show, wapo nyuma ya magazine covers, ili kuwa makeup artist huyu inabidi uwe unajihusisha na kujua nini kina trend katika uliwengu wa mitindo yaani mavazi na accessory hii inasaidia kufanya kazi yako kuwa rahisi, lakini pia inabidi ujifunze namna ambavyo wanafanya kazi na uwe creative kuwa na looks zako ambazo ume zi create mwenyewe. Ndio maana kwenye fashion show za wenzetu wana different touch’s sio kama sisi ambapo makeup artist wa harusi ndio huyohuyo atakae fanya fashion makeup.
Beauty Makeup Artist
Hawa ndio ambao tunao wengi, hawa wanafanya daily makeup za kawaida labda kwenye harusi, red carpet lakini pia huwa wana fanya vitu vingine kama ku style nywele na facial treatment, hawa ni wale make up artist ambao kwa hapa kwetu tunawaita “saloon makeup artist” wawe wamesomea veta, makeup college au kwa mtu ila wanawaze kukupamba kutoka ulivyo zoeleka kuwa vingine.
Film and Movies
Hawa ni wale ambao huwapaka mastaa katika movies, kama ukiangalia movies za wenzetu kuna wale ambao wanapakwa makeup za vidonda, wanambadilisha mtu kuonekana kijana au mzee, ana weza kubadilisha feature’s za mwili n.k, hawa wana deal sana na sinema na filamu
Kabla ya kuingia huku ni vyema kujua unataka kuwa makeup artist wa aina gani, hii itasaidia kupata mgawanyiko wa kazi lakini pia kupata ladha tofauti, tupende kujifunza na kujua zaidi kuhusu vitu tunavyo taka kufanya, hii itasaidia kuchagua kile ambacho ni bora kwako. Kwa sasa kazi za muziki na filamu zina tumia sana makeup artist lakini kwa bahati mbaya wale wangi tulio nao wachache ndio wanajua kutofautisha makeup za kawaida na makeup za katika filamu na muziki.
Tunahitaji wengi ambao wanao fanya vitu tofauti na sio wengi ambao wanafanya kitu kimoja.
Related posts
8 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/make-up/aina-3-za-makeup-artist/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/make-up/aina-3-za-makeup-artist/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/make-up/aina-3-za-makeup-artist/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on on that Topic: afroswagga.com/make-up/aina-3-za-makeup-artist/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here on that Topic: afroswagga.com/make-up/aina-3-za-makeup-artist/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on on that Topic: afroswagga.com/make-up/aina-3-za-makeup-artist/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/make-up/aina-3-za-makeup-artist/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 22041 more Info on that Topic: afroswagga.com/make-up/aina-3-za-makeup-artist/ […]