SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

CRUSHING RUBBY MAKE UP NA NYWELE
Hair

CRUSHING RUBBY MAKE UP NA NYWELE 

Ruby au Ruby na yule kama ambavyo ana julikana na wengi ni msanii wa muziki kutoka Tanzania, kilicho tufanya tumuweke leo hapa ni hizi picha zake mpya alizo share na mashabiki wake katika ukurasa wake wa Instagram.

13118172_211519529239839_1085006189_n

Ruby ameonekana katika muonekano mpya wa nywele ambapo ni za rangi ya purple akiwa amepaka make up nzuri kabisa kutoka americannailstz

13129418_1013458708731974_424474583_n

Tume penda tulicho kiona.

Related posts

Leave a Reply