SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Wema Sepetu, Lulu Diva Na Irene Wakitupa Makeup Goals
Make Up

Wema Sepetu, Lulu Diva Na Irene Wakitupa Makeup Goals 

Tunapenda kuwaona watu maarufu wakiwa wamependeza all glam up iwe for the gram au wanatoka kwenda sehemu, na week hii tumewaona wadada hawa watatu ambao tume fall in love na jinsi walivyo pakwa makeup zao #makeupgoals.

Video Vixen Irene au @officiallynn alikuwa all dolled up na makeup artist @rosekayuga tunaweza kusema Rose amemtendea haki Irene, makeup on point tume penda the yellow under eye shadow ime make a statement na kufanya makeup i-pop, pia choice ya lipstick wakati wengi wakitumia kavu wao wameamukua kutumia gloss lipstick which went well with her fuller lips.

Wema Sepetu yeye alikuwa face beated na makeup artist aitwae @irene_beautypoint tumependa the smokey cat eyes, it always looks good on her kuna kitu cha tofauti katika hii makeup ambacho kimemfanya Wema aonekane more calm kuliko tulivyo mzoea na pia ame debut new hair do.

Lulu Diva yeye alikuwa mikononi mwa makeup artist @queennuru_makeup , amempaka ombre eye shadow tumependa jinsi ambavyo amechanganya rangi na jinsi yellow ilivyo pop kwa mbele so nice.

ipi umeipenda zaidi kati ya hawa watatu?

Related posts

4 Comments

 1. superslot

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/make-up/wema-sepetu-lulu-diva-na-irene-wakitupa-makeup-goals/ […]

 2. Watermelon 1.2g Wax Infused Pre-Roll

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/make-up/wema-sepetu-lulu-diva-na-irene-wakitupa-makeup-goals/ […]

 3. แทงบอล

  … [Trackback]

  […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/make-up/wema-sepetu-lulu-diva-na-irene-wakitupa-makeup-goals/ […]

 4. roof skylight

  … [Trackback]

  […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/make-up/wema-sepetu-lulu-diva-na-irene-wakitupa-makeup-goals/ […]

Comments are closed.