SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Diamond Platnumz & Juma Jux Serving Us After Quarantine Body Goals
Afya

Diamond Platnumz & Juma Jux Serving Us After Quarantine Body Goals 

Tulishawahi kusema kuna aina mbili ya watu watatoka katika karantine

 • Ambao watakuwa body goals
 • Wale ambao watatoka wameharibu body goals zao

Well Wanamuziki Juma Jux na Diamond Platnumz wao wameonekana kutumia muda ambao tulikuwa tunatakiwa kukaa mbali na misongamano kutengeneza body goals zao. Hapana hatusemi kwamba zamani hawakuwa body goals lakini hii karantine imeonekana wamezidi kuzitengeneza zikae vyema zaidi.

Na kufanya kila mtu ajue kwamba miili yao imekaa vyema wamekuwa wakituserve picha ambazo wapo kifua wazi.

Juma Jux

Diamond Platnumz

Afromates je wewe umetoka na body gani baada ya karantini.

Related posts

3 Comments

 1. ufabet

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mazoezi/diamond-platnumz-juma-jux-serving-us-after-quarantine-body-goals/ […]

 2. DMT vape pen for sale online Australia

  … [Trackback]

  […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mazoezi/diamond-platnumz-juma-jux-serving-us-after-quarantine-body-goals/ […]

 3. debt

  … [Trackback]

  […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mazoezi/diamond-platnumz-juma-jux-serving-us-after-quarantine-body-goals/ […]

Comments are closed.