SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Kama Una Mwili Kama Wa Diamond Platnumz Tips Hizi Zitakusaidia Katika Muonekano Wako – Inverted Triangle
Mazoezi

Kama Una Mwili Kama Wa Diamond Platnumz Tips Hizi Zitakusaidia Katika Muonekano Wako – Inverted Triangle 

Umeshawahi kukutana na mwanaume kavaa nguo ambayo ikakufanya ujiulize kwanini lakini? mbona haiendani na mwili wake? mara nyingi ina tokea right? hii ni kutokana na kwamba wanaume hawafocus sana katika haya mambo, si kama wanawake lakini hio ndio sababu ya sisi kuwahapa t kuwafunza na kuwarudisha kwenye mstari. Leo tutaongelea namna ya kuvaa kutokana na aina ya mwili wako

 

Aina ya kwanza tunayoanza nayo  ni pembe tatu (inverted triangle) – aina hii ya mwili huwa wana mabega mapana kuliko kiuno na miguu, aina hii  ndio kaka zetu wengi siku hizi wanazo kina diamond,Calisah etc hii ni ile ya wanyanyua vyuma juu wakubwa kuliko chini
Tuonane week ijayo katika tip nyingine tena.

Related posts

2 Comments

 1. Lyophilized Goldmember Magic Mushrooms

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mazoezi/kama-una-mwili-kama-wa-diamond-platnumz-tips-hizi-zitakusaidia-katika-muonekano-wako-inverted-triangle/ […]

 2. 뉴토끼

  … [Trackback]

  […] Here you can find 8448 more Information on that Topic: afroswagga.com/mazoezi/kama-una-mwili-kama-wa-diamond-platnumz-tips-hizi-zitakusaidia-katika-muonekano-wako-inverted-triangle/ […]

Comments are closed.