SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Saumu na Mazoezi
Mazoezi

Saumu na Mazoezi 

Tunashauriwa kufanya mazoezi ya mara kwa mara, na faida za mazoezi zipo nyingi ki afya, katika toleo hili la leo ambalo ni maalum kwa Ramadhani, sitakwenda kugusia faida za mazoezi, ntazungumzia katika toleo lijalo mbalo litatoka baada ya mfungo,

Leo nataka tuangalie kama ni vema kufanya mazoezi wakati ukiwa umefunga au laa, Tunajua wakati wa mfungo huwa tunakula mara mbili tu ambapo ni ftari, na baadae daku, wengi wetu tuna ratiba ya kula mara tatu kwa siku tusipokuwa katika mfungo, hivyo wakati wa mfungo mwili unakuwa unapoteza kiasi kikubwa cha nishati ambayo huwa tunaipata kupitia vyakula mbalimbali,

Hivyo katika msimu wa mfungo unashauriwa kama ni mfanyaji wa mazoezi basi ufanye baada ya ftari, baada ya kufturu na kuruhusu mwili kufanya mmengenyo wa chakula unaruhusiwa kufanya mazoezi, lakini sasa unashauriwa ni vema kupunguza idadi na aina ya mazoezi unayofanya ili kuhifadhi nishati unayoipata kutoka katika chakula unachokula, unashauriwa kufanya yoga kwasababu inasaidia kupunguza msongo wa mawazo

Related posts

2 Comments

  1. buy blunts

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mazoezi/saumu-na-mazoezi/ […]

  2. Buy trippy flip mushroom chocolate bars USA

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mazoezi/saumu-na-mazoezi/ […]

Leave a Reply