Hamisa Mobetto has been slaying right and left this year, amekuwa akitu-serve look after look na tunapenda tunachokiona. Hivi karibuni alipost picture katika account yake instagram akiwa amevali gauni jekundu ambalo alikuwa inspired na mwanamuziki Beyonce.

Hamisa alivaa gauni hili likiwa limeshonwa na brand yake ya Mobetto Styles, alivaa gold open toe heels akamalizia na clutch ya gold, long earrings na wave weave.

Wakati Beyonce alivaa gauni ambalo Hamisa amekuwa inspired nalo katika Clive Davis pre-Grammy Gala, January. Beyonce yeye alivaa gauni hili na red embellished stilettos, akamalizia na embellished silver clutch na blonde hair.

Well Afromates Je Hamisa amepatia hili vazi? tuachie comment zako katika box letu la comment hapo chini