Lola Akinuli Adeniyi ni  Stylist, Designer, CreativeDirector, na Photographer kutoka Nigeria, Unaposikia Stylist na Designer lazima ufikirie kwamba ana sense nzuri katika mitindo & yes she has a good  taste katika mitindo she is colorful, chic and elegant. Kwake tumependa hasa mishono yake ya kitenge na jinsi anavyo kivaa bila ku-bore.

A sleeveless kitenge top

Extra Touch’s Kitenge Top

 

Pencil Skirt

This Off Shoulder Dress Is Life

 

Mixing Kitenge Prints.