SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

VYA NYUMBANI
Mitindo Ya KiAfrica

VYA NYUMBANI 

Imekuwa kawaida kwa nchi za Africa kuiga mitindo ya ulaya pasipo kujua  sisi pia tunaweza kutengeneza vya kwetu kupitia matirio yetu kama kitenge,khanga au dakishi kuifanya mitindo yetu  iwe ya kisasa zaidi.  kuna mitindo ambayo imeingia kutoka ulaya kama suruali za kuchana,  peplum blauzi ni vitu ambavyo hapa Africa pia tunaweza kufanya.

Wapo wabunifu wachache ambao wame diriki kufanya hivyo na ikaleta matokeo mazuri kama @bijoux_trendy au husna @hna.dresstoimpress, chachu ya kisasa na tamaduni ni chachu ambayo hakuna ambae ata kataa kwamba si nzuri.

1

sketi ya penseli na crop top ya kitenge ambayo ime ambatanishwa na mkoba wa channel na viatu vilivyo tengenezwa na kitenge chenyewe kutoka Bijoux ni mchanganyiko wa kiafrika na ulaya ambao hauchoki kuuona machoni mwako.

2 3

4

jumpsuit ya kitenge pamoja na viatu vya timberland vyote hivi kutoka bijoux trendy ambao wana fanya biashara zao nchini Tanzania  na Noryaw

Husna Tandika mbunifu kutoka Tanzania nae ametuonyesha umahiri wake wa kuchanganya kitenge na nyenzo nyingine katika kazi zake zifuatazo

unnamed husna1 husna

 

Related posts

1 Comment

  1. BINANCE FUTURE

    … [Trackback]

    […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo-ya-kiafrica/vya-nyumbani/ […]

Leave a Reply