SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Top 10 Best Dressed At The 2020 AMVCA
Mitindo

Top 10 Best Dressed At The 2020 AMVCA 

Ukiachana na kuangalia washindi wa Tuzo jicho letu lilikuwa kwenye red carpet, nani amevaa nini na je alipendeza au lah?

The most anticipated award show Africa, Africa Magic Viewers Choice Awards ( AMVCA ) Ilifanyinyika jumamosi hii, na watu maarufu wengi walihudhuria wengi wao walipendeza sana na hawa ndio ambao wameingia katika list yetu ya watu kumi waliopendeza zaidi.

Nana Akua Addo, huyu ni muigizaji kutoka Ghana, Nana always yupo fashion forward and a true slayer. Katika event hii Nana alivaa gauni kutoka kwa mbunifu Gaurav Gupta ( India). Hii gauni ni art (Sanaa), design yake, rangi, fitting was just wow. tumependa kwamba hakutaka kuwa complicated na makeup na nywele, less accessories & nails zilipakwa rangi ambayo imetulia. She just ate this look and this is how you enter and exit.

Mercy Eke in Dona Matoshi gown, the gown itself ni statement tosha. Mercy ana petite body hii ball gown ilikuwa ni chaguo sahihi kwake, The volume ya dress ilikuwa perfect,style ya nywele imeendana na gauni, makeup on point, less accessories and again a perfect choice of nail polish.

Adesua Etomi in Matopeda dress, tumependa fitting ya hii dress. The fit is perfect it went well with her body, the hair & makeup was on point. Tunaweza kusema this whole look presents her personality, as we all know Adesua is calm, sexy & classy.

Sharon Ooja akiwa amevalia gauni kutoka kwa mbunifu SomobySomo, She went Rihanna on us, shinning bright like a diamond. Love every shade of gold on her. Tumependa coordination yaani kila kitu kimeendana ni extra lakini isiyoumiza.

Cynthia Nwadiora in sheyeoladejo green and black dress, she just outdid herself in this dress, how can you hate this? how? Perfection from head to toe.

Mercy Aigbe akiwa amevalia dress kutoka kwa ceolumineeofficia, unaweza kuona kazi ya stylist hapa, how ameweza ku-mix & match accessories na vilivyomo kwenye dress bila ku-bore.

Lilian Afegbai in 2207bytbally, kilichofanya hii dress iwe tofauti na nzuri ni hii see through inayoonyesha ngozi, the extra touch’s kwenye mabega na shingo carried this dress to a whole another level.

Stephanie Coker  In 2207bytbally,

Dénola Grey in Mazelle Studio Futuristic suit, and this is how you make a statement Gentlemen’s, tumependa kwamba hajachagua kukaa inside the box, tumezoea kuona same thing kwa wanaume the tuxedo’s, suits same thing just different colors & materials. Well Denola & Mazelle did went hard on men side hapa. We are in love with this look.

Ebuka in ATAFO suit

Related posts

3 Comments

 1. แทงบอลออนไลน์ 911

  … [Trackback]

  […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/10-best-dressed-at-the-2020-amvca/ […]

 2. Purchase Crystal Meth Online For Sale Melbourne

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/10-best-dressed-at-the-2020-amvca/ […]

 3. weed for sale in australia cheap

  … [Trackback]

  […] There you will find 13498 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/10-best-dressed-at-the-2020-amvca/ […]

Comments are closed.