Kesho kuna mapumziko ambapo ndugu zetu waislam wana sheherekea sikuku ya Eid, na kama ambavyo tunajua kwenye matukio kama haya kuna mialiko ya hapa na pale basi ukialikwa ina faa uvae smart, upendeze lakini umeshajua uvae nini? tunakuleta zile simple outfit ambazo unaweza ku pull off ukapendeza

blazer X jeans

 

shirt dress

dress