Anaitwa George Charles A.K.A Gee Tyga ni model kutoka Tanzania ambae ana mwaka tu toka aingie katika Tasnia ya uanamitindo na tayari amejibebea Tuzo ya mwanamitindo bora mwaka huu kutoka na kazi yake bora, leo willibard_jr amepata kuketi nae na kujua mawili matatu kutoka kwake,
Well tuanze na a brief bio
Majina yako, Umri (if you’re okay with this). Modelling kwako ulianza lini? Nani aliweza kukuinspire kuingia katika modelling?
Well thank you so much for this opportunity
Kwa majina kamili naitwa George charle but wengi wana nifaham kwa jina la (Geetyga) nna umri wa miaka 23 nilianza modeling rasmi mwaka 2016
mtu alive ni shawishi kuingia kitika modeling ni mama angu madogo alieko nchini marekani, mwanzoni kabla ya kuingia katika modeling nilikua napenda Sana kupendeza na kupiga Picha, kuna siku nilipiga Picha na kumtumia alipoa iangalia ile Picha kitu alicho niambia ni (mwanangu unapendeza Sana kua model pia) ukija huku utapiga Sana pesa pale ndipo ilipo anzia safari yangu ya modeling,
Model gani toka nchi za nje anakuinspire? Pia what African model anakuinspire pia?
model nnae mkubali mpaka kesho na pia naamini IPO siku nitafika level zake ni Tyson Beckford pia African model anae ni inspire ni Dada angu herieth paul na my sis kutoka UG Aamito lagum nawakubali Sana Hawa watu wanafanya kazi nzuri Sana,
Apart from modeling wajishughulisha na shughuli gani? Any other talents pia?
Mbali na modeling mie ni mpishi na Mwana riadha mzuri Sana ni actor pia
Ushafikiria kufanya ubunifu wa mavazi ma akioaji hicho kwako hamna?
Sijawahi kufikiria kua Mbunifu maybe siku za usoni Kama ikitokea
So far huu ni mwaka wako wangapi doing modeling? Na pia mwaka wako wangapi on the Swahili Fashion week runways?
Toka nianze modeling huu ni mwaka wangu wa pili, pia ni mwaka wangu wa pili kufanya show ya shwahili fashion week
Mwaka huu ni designers gani ulifurahia kuvalishwa nao na collections zipi zilikuvutia?
Mwaka huu nilifurahishwa na disenger Almost wote sababu wote kazi zao zilikua ni moto, ila nikua happy Sana kuvaa nguo ya designer farougue abdele mkongwe kutoka visiwani Zanzibar nilijihisi mwenye bahati sana,
As a model unatakiwa kuwa ni shape all the time. What is your exercise routine in maintaining a healthy body? Any diet plans in particular?
Yeah as a model unatakiwa kua shape all the time naeza sema mie nipo hivyo siku zote coz moja ya vyakula ninavyo penda mbali na vykula vya kawaida ni gym daaah!! Kwenye swala la gym hanimbii mtu kitu kwakweli na utaratibu wangu wa mazoezi na siku nne katika week kuhusu swala diet nisiwe muongo kwa kweli sina mfumo huwo mie ni mlaji mmoja mzuri2 hasa nnapo kutana na kitu cha ubwabwa mdondo daaah! Huwa naumiza balaa
Twakupongeza kwa kushinda SFW model of the year, Hakika 2017 imekuwa a busy year kwako. Any words kwa marafiki na supporters wako?
Asante Sana kwa pongezi nashukuru Sana kaka yeah ilikua busy week kwangu Sana sababu ni model pekee wa kiume toka Tanzania nilikua booked siku zote tatu award ambayo nilishapata nilipata mwaka Jana 2016 katika show ya sanaa fashion week as a Top male model of the year hivyo hii ya Swahili fashion week ni Tuzo yangu kubwa na pili ktk career yangu ya modeling, Aah kwenye swala la support ipo napata kutoka kwa watu tofauti tofauti nashukuru kwa hilo kwakweli inanitia moyo wa kufanya zaidi
Nini maoni yako na Pia ushauri gani unatoa kwa jamii wasioelewa kuhusu modelling na kuona kana kwamba si kazi ya maana bali uhuni?
Aaah! Serikali yetu itambu hii tasnia yetu Kama zilivyo zingine model name disenger tupewe vipaumbele Kama ilivyo ka watu music,movie na football, pia naomba jamii itambue kua modeling ni kazi Kama zilivyo kazi zingi sio uhuni kama baadhi ya wana jamii wengine wazaniavyo
Pia tasnia ya mitindo na ubunifu, waiona ikikua? Miaka 10 ijayo do you see Tanzania ikipeperusha bendera katika fashion weeks na runways za kimataifa?
Tasnia yetu ya mitindo baada ya miaka kumi ijayo naiyona level za SA ilivyo sasa Kama tukiendelea na moto huu kuhusu kupeperusha bendera yetu naeza sema mpaka sasa Ina pepea Dada yetu harriet paul anatung’aaza Duniani victoria secret sio show ya mchezo mchezo .
Related posts
2 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/10-questions-gee-tyga-winner-of-male-model-of-the-year-2017/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/10-questions-gee-tyga-winner-of-male-model-of-the-year-2017/ […]