Okay Lupita is making waves sio tu kwenye movies ila kwenye fashion na style za kawaida hata red carpet, she keeps it real na rangi yake ya mwili na natural hair we must say she makes African’s proud & show them how we do.
Lupita ame attend red carpet nyingi kubwa na tuseme tu ana zile genies za ki Africa kali za kupania she either go big or she’d lather not attending maana hatuja wahi kuona red carpet ameharibu. style team yake sio ya mchezo mchezo well leo ame kuwa Woman Crush Wednesday wetu na hizi ndio mara 10 ambazo we had a crush on her katika red carpet.
Lupita style is colorful mara nyingi anapenda kuvaa rangi zenye ku shout ku compliment rangi yake ya mwili
Lupita alivaa yellow sunflower-color J. Mendel dress katika red carpet ya Hollywood Film Awards, mshono upo simple, we love the fact alichagua orange lipstick, makeup well done na her short hair style.
Katika Tuzo za Oscars 2014, Lupita alivaa a sky blue prada dress, simple make up & batural hair as usual huku akiwa amemaliza muonekano wake na earrings.
She always lets her outfit do the talking mwaka 2014 katika Tuzo za NAACP Image Awards, Lupita alivaa Givenchy Gold Dress ( Golden Givenchy Girl) akiwa amemaliza muonekano wake na dropped earrings, na simple makeup inaonekana anaipenda sana hii lipstick.
wakati wengine wakichagua neutral au metalic colors Lupita yeye huwa anachagua bold colors, hii ilikuwa red carpet ya Screen Actors Guild Awards, mwaka 2014 ambapo alivaa a blue Gucci dress.
Green Envy, Lupita alivaa green silk fish-tail gown by Christin Dior katika red carpet ya BAAFTA’s 2014
Sequin, sequin, Sequin on melanin, Lupita ali attend katika red carpet ya premiere ya star wars in a sequin Alexandre Vauthier Couture Dress
Cannes 2015 Lupita ali attend akiwa amevaa a gown by Gucci
2017 premiere of her new film ‘Star Wars
2018 at 24th Annual SAG Awards
Black panther premiere 2018
Related posts
1 Comment
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] There you will find 85440 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/10-times-we-had-a-crush-on-lupita-nyongos-red-carpet-style/ […]