SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

2 Looks From Elizabeth Michael Maternity Photoshoot
Mitindo

2 Looks From Elizabeth Michael Maternity Photoshoot 

Muigizaji Elizabeth Michael ambae alifunga pingu za maisha na mumewe Majizzo mwanzoni mwa mwaka huu. Majizzo Na Elizabeth wamefanikiwa kupata mtoto wa kiume na katika kututaarigu kuhusu ujio huu wa mwanafamilia mpya waliachia matnenity photoshoot yao.

Eliza alivalishwa na mbunifu Elisha Red Label ambapo alivaa gauni mbili, nyekundu na nyeupe. Ambayo tuliiona Full ni hii nyeupe yenye mkono mmoja mrefu huku mkono mwingine ukiwa short sleeve uliobuniwa kama ua. Amemalizia muonekano wake na makeup kutoka kwa MUA Makeup By Eddie na Up do hair style.

Huku gauni nyekundu alipigwa tu nusu akiwa amelala chini. Hongera kwa Eliza Na Majizzo.

Well Afromates tupe maoni yako kuhusu photoshoot hii.

Related posts

6 Comments

 1. roof skylight

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/2-looks-from-elizabeth-michael-maternity-photoshoot/ […]

 2. about his

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/2-looks-from-elizabeth-michael-maternity-photoshoot/ […]

 3. pg slot

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/2-looks-from-elizabeth-michael-maternity-photoshoot/ […]

 4. 다시보기

  … [Trackback]

  […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/2-looks-from-elizabeth-michael-maternity-photoshoot/ […]

 5. Cliquez ici

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/2-looks-from-elizabeth-michael-maternity-photoshoot/ […]

 6. Dr Stacy Pineles and Dave T Bolno

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/2-looks-from-elizabeth-michael-maternity-photoshoot/ […]

Comments are closed.